Jumla ya wanachama Milioni 1,023, 911 wa  ccm_tanzania wamejitokeza kumdhamini Mwenyekiti wao Rais Magufuli katika fomu za kuwania kupitishwa na chama hicho kugombea nafasi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu. Julai 11, Mkutano Mkuu wa chama utakutana kumpigia kura.