Watu 9 wakiwemo watoto 2 wamefariki katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea katika Jimbo la Dakota ya Kusini, nchini Marekani

Kwa mujibu wa taarifa, ndege hiyo ilianguka muda mfupi baada ya kuruka na watu 3 waliokolea wakiwa wamejeruhiwa

Miongoni mwa waliofariki ni pamoja na Rubani wa ndege hiyo na bado hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuhusiana na chanzo cha ajali hiyo