Watu 10 wamepoteza maisha katika jimbo la Texas baada ya kutokea kwa ajali ya ndege katika eneo la Addison kwenye kiwanja cha ndege.

Pindi ikiruka, ndege hiyo ilipoteza muelekeo na hatimaye kujibamiza na kuwaka moto na mpaka sasa mamlaka hazijatoa sababu ya ajali hiyo.

Watu saba kati ya watu 10 waliuawa katika ajali ya ndege siku ya Jumapili kwenye uwanja wa ndege wa Addison huko Texas walitambuliwa Jumatatu kama wachunguzi wa shirikisho wanasema wamepona rekodi ya sauti ya cockpit kutoka kwenye ndege.

Kati ya waliofariki, watu 4 ni ndugu wa familia moja

Chanzo Bongo5.