Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amemvua Ukuu wa Idara ya Ardhi Manispaa ya Iringa, Wilbert Mtongani kwa kosa la kwenda kinyume na maadili ya kazi.

Lukuvi ametangaza uamuzi huo jana December 02,2019, katika ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi Mkoani Iringa.