Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wawili wa virusi vya corona Tanzania mmoja amekutwa Zanzibar na mmoja Dar es Salaam wote ni raia wa kigeni. Jumla wamefikia watatu