Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jackline Wolper aamua kufanya kweli kwa kudhihirisha kupata mrithi wa Harmonize wa WCB.

Wolper ameamua kumuweka hadharani Bff wake anayedaiwa kuwa mpenzi wake mpya aitwaye Brown, katika mtandao wa Instagram mrembo huyo ameweka video wakiwa 0-distance.