Uongozi wa Yanga SC umemtumia salamu za pole golikipa wake Metacha Mnata kwa kufiliwa na mtomto wake anaejulikana kwa jina la Brighton Bonifance Metacha aliefariki Jana usiku.