Zari The Boss Lady ni mrembo mwenye watoto waanaishi maisha yake japo bila ya kujali ya walimwengu liicha ya mashabiki kumshauri ameyazidi umri wa kuachana nayo umefika.

“Comment za wenye hasira ziwe fupi…. kwanni maisha ya mtu yanakuumiza ivo bana? Fanya yako… periodt,” aliandika Zari kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Hii ni miongoni mwa comment ya mashabiki

official_dibahvan_simba
Dah naenjoy nikikuona mama 5 wewe ni mwanamke tofauti sana mwanamke usie na makuu wanamke mwenye uzuri wake mtu ak huna mtoto nakupenda bure @zarithebosslady