Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platnumz Zari amemkumbuka mume wake ambaye alizaa nae watoto watatu marehemu Ivan.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Zari ameposti picha akiwa na Mumewe huyo enzi za uhai wake pamoja na watoto wao na kuandika kuwa  “tunakukosa kuwa hapa kimwili lakini nahisi kama hujaondoka upo na sisi”.