KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt.Bashiru Ally Kakurwa, akivishwa skafu na Vijana Maalum wa UVCCM  Wilaya ya Dimani  katika ziara yake katika mkoa wa magharib kichama.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt.Bashiru Ally Kakurwa,akizungumza na Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Magharib.
BAADHI ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Magharib wakimsikiliza mgeni rasmi, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt.Bashiru Ally Kakurwa huko katika ukumbi wa CCM  Wilaya ya Dimani kichama.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt.Bashiru Ally Kakurwa, akikagua bidhaa mbali mbali zinazotengenezwa na wajasiriamali wa Mkoa huo huko katika soko la mboga mboga Mombasa Zanzibar.
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdulla JumA Mabodi, akizungumza wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally, huko katika ukumbi wa CCM Wilaya ya Dimani Kiembesamaki.