Je unaufahamu mfuko wa hiyari wa ZSSF? Je wewe ni mjasiriamali au si mwajiriwa? Unadhani kipato chako hakitoshi kujiunga na mfuko wa Hifadhi ya Jamii? Je unahofu na mustakbali wa elimu ya mwanao kutokana na ukubwa wa ada? Haya na mengine mengi utayapata kwa Kumsikiliza Bi. Mwanakhamisi Kassim, Afisa wa Mfuko wa Hiyari ZSSF.