ZSSF yafanya semina kwa wastaafu watarajiwa Pemba – PICHA

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) leo October 9/2018 imefanya Semina kwa wanachama wake ambao ni wastaafu watarajiwa,semina hiyo imefanyika katika kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi Pemba.

Afisa Mdhamin Wizara ya Fedha (aliyesimama) Bw. ibrahim Saleh akisisitiza jambo. Kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji  ZSSF Bi. Sabra Issa Machano kulia ni Meneja wa ZSSF Pemba Bw. Rashid Muhammed.

 

Washiriki mbali mbali wa Semina iliyoandaliwa na ZSSF kwa wastaafu watarajiwa wakisikiliza kwamakini mada iliyowasilishwa.

 

Mtoaji wa mada bibi Ghanima Othman kutoka Jumuiya ya Wastaafu na Wazee (JUWAZA).