13

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Abdulwkil Haji Hafidh akibanilishana mkataba wa makabidhiano ya jengo la Jumba la Treni Darajani, Meneja Mkaazi wa Kampuni ya CRJE Bai Hao Chen baada ya kuliliana saini ya makabidhiano hayo kwa hatua za mwanzo kuaza ujenzi wake.

15

Msimamizi Ujenzi huo wa jengo la Treni Darajani wa Kampuni ya Cons African Ltd . Eng Francis D Kaloko akitowa maelezo ya utaratibu wa ujenzi huo kwa pande hizo mbili za ZSSF na CRJE, kabla ya utilianaji wa saini hiyo ya kukabidhiwa jengo hilo kwa mkandarasi.

14

Meneja Mkaazi wa Kampuni ya Ujenzi ya Kichina ya CRJE Bai Hao Chen, akimsikiliza Msimamizi wa Ujenzi huo Eng. Francis D Kaliko, akitowa maelezo ya utaratibu wa ujenzi huo wa Jengo la Nyumba ya Treni Darajani Zanzibar.

17

Wataalamu wa Kampuni ya CRJE wakiwa katika viwanja vya jengo hilo wakisubiri kutiliana saini ya makabidhiano ya jengo hilo ikiwa hatua ya mwanzo kwa ajili ya kuaza ujenzi wake kujenga maduka ya kisasa.

16

Mchoro ulio tolewa na ZSSF unaonesha Jumba la Treni litakapo kamilika

Mchoro ulio tolewa na ZSSF unaonesha Jumba la Treni litakapo kamilika