Mamlaka ya udhibiti wa huduma za maji na nishati Zanzibar (ZURA) @zura_mamlaka yatangaza utaratibu wa kufunga na kufungua vituo vya mafuta katika kipindi cha uchaguzi.